MAFUNZO KOZI YA UZALISHAJI WA MUZIKI TaSUBa

Описание к видео MAFUNZO KOZI YA UZALISHAJI WA MUZIKI TaSUBa

Karibu TaSUBa kwa mafunzo bora katika Program za Certificate na Diploma katika:

i. Sanaa za Maonyesho na Ufundi (Performing and Visual Arts).
ii. Uzalishaji wa Picha Jongevu (Film and TV Production).
iii. Uzalishaji wa Muziki na Sauti (Music and Sound Production).

Tembelea tovuti ya chuo: www.tasuba.ac.tz kwa taarifa zaidi au piga namba: 0762 544 613 au 0784 394 933.

#TaSUBaKwaMafunzoBoraYaSanaaNaUtamaduni🇹🇿💯🎻🎙🥁🎺🎙

Комментарии

Информация по комментариям в разработке