Mt. Kizito Makuburi - Chozi la damu (Lyric Video)

Описание к видео Mt. Kizito Makuburi - Chozi la damu (Lyric Video)

TULIPOTOKA - KMK

Leo kwenye kipengele cha tulipotoka tunajikumbusha wimbo

CHOZI LA DAMU utunzi wake BERNARD MUKASA

Wimbo huu ulitungwa Februari 2003 na kuimbwa na KMKMAKUBURI unapatikana kwenye album ya Tisa ( Vol9 ) ya kwaya yetu.

Dhima kuu ya wimbo huu ni kilio cha watoto juu ya mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii.

Je unakumbuka nini na wapi ukisikia wimbo huu?

#35thkmkannivessary
#kmkmakuburi
#TunarudiNyumbani
#tbt

Комментарии

Информация по комментариям в разработке