📍WANAFUNZI WA SANZAWA WAPEWA MOTISHA YA ZAWADI NA VYETI WAHIMIZWA KUONGEZA UFAULU DARASA LA7

Описание к видео 📍WANAFUNZI WA SANZAWA WAPEWA MOTISHA YA ZAWADI NA VYETI WAHIMIZWA KUONGEZA UFAULU DARASA LA7

WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KATIKA KATA YA SANZAWA WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII.

Katika shughuli ya ugawaji wa vyeti kwaajili ya utoaji wa motisha kwa waalimu na wanafunzi wa shule za msingi katika kata ya sanzawa wilaya ya chemba mkoa wa dodoma.Shughuli iliyoandaliwa na ofisi ya elimu chini ya mtendaji wa kata.
Akizungumza na chemba tv mkuu wa shule ya msingi sanzawa amesema kuwa "kata yetu huwa na program ya mitihani ya kibingwa kila mwezi lakini mwez huu mitihani hiyo imefanyika katika shule ya sanzawa na binafsi nawashukuru sana wazazi,waali lakin pia na wanafunzi wa sanzawa kwani katika nafasi za kumi bora asilimia 90% ni wanafunzi wa sanza niwape pongezi sana.
Aidha chemba tv ilipata bahati ya kuzungumza na mwalim lusia ambaye alipata cheti cha kuwa mwalimu bora katika kata ya sanzawa naye ana haya ya kusema"namshukuru Mungu kwa kupata cheti hiki kwani kimeniongezea hamasa ya kuendelea kufundisha wanafunzi wangu lakini pia ninatamani kuona wanafunzi wakifaulu mitiani yao itakayo anza mwezi novemba.
lakini pia wanafunzi nao walitoa maoni yao na kuonesha namna walivyofurahia program hiyo ambayo kila wakati huwaongezea hamasa ya kusoma kwa bidii kwaajili ya kujiandaa na mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari.
✍️Mc_jolyjous

Комментарии

Информация по комментариям в разработке