Mhubiri David Owuor afika Kisumu kwa kishindo kwa maombi iliyowavutia maelfu ya Wakristo

Описание к видео Mhubiri David Owuor afika Kisumu kwa kishindo kwa maombi iliyowavutia maelfu ya Wakristo

Kila mwaka unapofikia kilele wakenya huukaribisha kwa njia mbali mbali. Baadhi hufika katika maeneo ya burudani, wengine kanisani, baadhi wakisalia nyumbani. Lakini mji wa Kisumu umempokea mgeni wa kipekee ambaye ameandaa maombi katika uwanja wa Kibos ambayo yamevutia maelfu ya Wakristo kutoka hapa nchini na nje ya nchi.

Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on   / ktnkenya  
Like us on   / ktnkenya  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке