Adam atimiza ndoto kwa Fei Toto, asimulia alivyowekwa selo Libya

Описание к видео Adam atimiza ndoto kwa Fei Toto, asimulia alivyowekwa selo Libya

Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Adam Omary Adam amesema ametimiza ndoto yake ya muda mrefu, aliyokuwa anatamani kucheza timu moja na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto'.

Kwa nafasi anayocheza Adam, anaamini akiwa na Fei Toto uwanjani, anaweza akafunga mabao mengi, kutokana na ufundi wake wa kuchezesha timu na kutoa pasi za mwisho.

Adam aliwahi kupata ofa ya kuichezea Al-Wahda ya Tripoli ya Libya, anasimulia maisha ya nchi hiyo, jinsi yalivyomfanya apoteze amani na wakati wote huku akielezea mkasa alivyowekwa selo kwenye Uwanja wa Ndege siku ya kwanza kuwasili nchini humo wakati anamsubili mwenyeji wake.





























































































#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Комментарии

Информация по комментариям в разработке