3. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

Описание к видео 3. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

Watu wengi wamefunga ndoa za kiroho bila kujua, na nafsi zao zinashikiliwa mateka katika ulimwengu wa giza. Kutokana na hali hiyo, wamejikuta wanaishi maisha yenye mateso ya kiafya, kiuchumi, na kimahusiano. Lengo la somo hili ni kukupa maarifa ya kukusaidia kuomba ili uweze kuvunja ndoa ya kiroho uliyoingia, na uweze kutembea katika ushindi kwenye kila eneo linalogusa maisha yako. Karibu ujifunze na tuombe pamoja, na YESU atakufungua na kukuweka huru.

Mungu akubariki na kukushindia. Amen!

Isaac Javan | +255 745 76 45 72 |

Комментарии

Информация по комментариям в разработке