Ester_Masoud_Wewe _Ni_BWANA_OfficialVideo

Описание к видео Ester_Masoud_Wewe _Ni_BWANA_OfficialVideo

BWANA YESU ASIFIWE SANA,,
Naitwa Ester masoud
Namshukuru MUNGU amenipa kibali kukuletea Video ya Wimbo huu uitwao "WEWE NI BWANA", tumengoja na Sasa MUNGU ametupa kibali.
Imekuwa baraka sana tangu maandalizi mpaka Sasa tumeuona mkono wa MUNGU.

Ni wakati mzuri Sasa wewe na wengine kubarikiwa kazi hii kwa Utukufu wa MUNGU,
Usambaze wimbo huu kwa maelfu ya watu Ili MUNGU atukuzwe sana kupitia wewe.
#Share
#Like
#Comment

Комментарии

Информация по комментариям в разработке