MKE NA MTOTO WA MZEE HUYU WAPATA MIMBA KWA WAKATI MMOJA!! TAHARUKI!! : Movie kwa Kiswahili..

Описание к видео MKE NA MTOTO WA MZEE HUYU WAPATA MIMBA KWA WAKATI MMOJA!! TAHARUKI!! : Movie kwa Kiswahili..

Dinnah ni binti pekee kwa baba yake kipenzi, tangu kifo cha mama yake, baba yake hajawahi kuoa. Baba yake Dinnah anakutana na Venita na kuanza naye mahusiano ya kimapenzi na kupelekea Venita kupata ujauzito hivo kulazimika kuishi pamoja sasa katika kuishi pamoja inabidi Dinnah na Venita waishi nyumba moja kitu ambacho kinaleta misukosuko ndani kwa sababu wote ni rika(umri) mmoja karibu kutizama mkasa huu......

Комментарии

Информация по комментариям в разработке