MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

Описание к видео MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

Ndoto zimekuwa zikitumiwa na wachawi kupitisha vitu kwenye maisha ya watu, na kuharibu maisha, familia, biashara, kazi, maendeleo, na kila kitu kinachogusa maisha ya mtu. Imempendeza Mungu nikushirikishe maombi haya, ili uweze kuishi na kutembea kwenye ushindi.

Katika maombi ya leo, nitakuongoza maeneo ya kuyaombea, na pia nitaomba pamoja na wewe. Unapofanya maombi haya, omba kwa imani huku ukimaanisha. Hakika utamuona Mungu akifanya kitu kwa ajili yako na kwenye maisha yako. Wewe ni jeshi la BWANA. Usikubali wachawi wakushinde wakati silaha ulizo nazo zina nguvu na uwezo wa kumshinda shetani. Pigana, pambana mpaka uone umeshinda. Damu ya YESU ikufunike na ROHO MTAKATIFU akutie nguvu zaidi unapofanya maombi haya. Amen!

Maombi/Huduma (+255 745 76 45 72) (Email: [email protected])

Комментарии

Информация по комментариям в разработке