Othman Hamza Malilo II | Kiongozi mkuu wa kabila la Wamanyema.

Описание к видео Othman Hamza Malilo II | Kiongozi mkuu wa kabila la Wamanyema.

Maana ya Kolo ni kiongozi wa Jadi kwa Lugha ya Kimanyema. Akizungumza kinaga ubaga ujio wa Tamasha la utamaduni wa Jamii za mkoa wa Kigoma linalotarajiwa kufanyika Mwaka huu Mwezi wa 10 tarehe 4-6, Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es salaam.

Hii ni Jumuiye yetu ya Watu wa Mkoa wa Kogoma.
Karibuni nyumbani
Kigoma Region Tanzania

Комментарии

Информация по комментариям в разработке