Hapa ndipo wazazi wengi wanapokwama kwenye malezi

Описание к видео Hapa ndipo wazazi wengi wanapokwama kwenye malezi

Leo nimekusogezea somo la malezi,mara nyingi wawazi wengi sana wanajiuliza wanakwama wapi kwenye namna wanavyowalea watoto wao katika nyaja zote kama vile uchumi au kiroho.Ukisikiliza vizuri video hii utapata kuelewa maeneo manne ambayo wazazi wanakwama kwenye eneo la malezi.

Unaweza kunifuatilia katika mitandao yangu ya kijamii

Like my Facebook:   / chrismauki  
Follow my Instagram:   / chrismauki_  
Subscribe my YouTube:    / @chrismauki1  
#DrChrisMauki#Wazazi#Malezi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке