Serikali imeagizwa kuilipa familia ya mwanahabari kutoka Pakistani aliyeuawa humu nchini khs. 10m

Описание к видео Serikali imeagizwa kuilipa familia ya mwanahabari kutoka Pakistani aliyeuawa humu nchini khs. 10m

serikali imeagizwa kuilipa familia ya aliyekuwa mwanahabari kutoka Pakistan shilingi milioni 10 kama fidiaya mauaji yake.
jaji Stella Mutuku amesema kuwa mauaji ya Arshad Sharif, raia wa pakistan yalikiuka katiba na haki zake za kuishi na kulindwa. aidha serikali imeitaka mahakama kusitisha utekelezaji wa agizo hilo kwa siku 30 ili kuipa nafasi ya kukata rufaa. familia ya wanahabari huyo iliishtaki serikali kwa mauaji hayo ikisema kuwa haki yake ya kuishi ilikiukwa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке