Huu hapa "Uwekezaji mkubwa na wa kisasa" wa Bakhresa nchini Rwanda

Описание к видео Huu hapa "Uwekezaji mkubwa na wa kisasa" wa Bakhresa nchini Rwanda

Uwekezaji wa Kampuni ya Bakhresa Grain Mills nchini Rwanda umeendelea kuwanufaisha mataifa ya Rwanda, Burundi na Mashariki wa DR Congo kwa kupata Unga wa ngano wenye ubora.

HIivi karibuni Mwandishi wetu, Jamal Hashim alijionea uzalishaji unaofanywa na Kiwanda hicho nchini Rwanda kilichojengwa mwaka 2011 kwa gharama ya billioni 69 ikiwa ni sehemu ya kwanza ya mfululizo unaoangazia uwekezaji nchini humo.

#kiwanda #ujenzi #gharama #bakhresa #uwekezaji #rwanda

Комментарии

Информация по комментариям в разработке