Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть 30. Tofauti kati ya Arrow Function vs Function Expression

  • Mohamed Hafidh Tz
  • 2025-09-30
  • 56
30. Tofauti kati ya Arrow Function vs Function Expression
JavaScriptArrow Function vs Function ExpressionJavaScript Arrow FunctionsFunction ExpressionJavaScript tutorialsJavaScript in SwahiliKujifunza JavaScriptCoding kwa KiswahiliFunctions in JavaScriptJavaScript for beginnersJavaScript step by stepJavaScript this keywordJavaScript arguments objectLearn JavaScriptJavaScript Swahili tutorialsES6 Arrow FunctionsJavaScript modern syntaxProgramming kwa KiswahiliJavaScript coursemohamedhafidh_tz
  • ok logo

Скачать 30. Tofauti kati ya Arrow Function vs Function Expression бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно 30. Tofauti kati ya Arrow Function vs Function Expression или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку 30. Tofauti kati ya Arrow Function vs Function Expression бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео 30. Tofauti kati ya Arrow Function vs Function Expression

Katika video hii tunajadili tofauti kuu kati ya Arrow Function na Function Expression kwenye JavaScript. 🚀

✅ Utajifunza:
➡️Tofauti ya syntax (muundo wa kuandika)
➡️Jinsi this inavyofanya kazi kwa Function Expression na Arrow Function
➡️Arguments object na kwa nini arrow functions hazina arguments zao
➡️Matumizi bora ya Function Expression na Arrow Function
➡️Kwa nini Arrow Functions haziwezi kutumika kama constructor (na new keyword)


💡 Hii ni mada muhimu sana kwa wanaojifunza modern JavaScript, hasa kuelewa ni wakati gani bora kutumia Function Expression na lini utumie Arrow Function.

👉 Usisahau ku subscribe, kuacha 👍 like, na kushare video hii na marafiki zako wanaojifunza coding.







⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

🎥 Karibu sana kwenye Channel yangu! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu:
🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉

📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.

🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya

🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱Jiunge na Whatsapp Group letu:
https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram:   / mohamedhafidh_tz  
🎥 TikTok:   / mohamedhafidh_tz  
📺 YouTube:    / @mohamedhafidh255  

Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏

#javascript #coding #mohamedhafidh_tz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей [email protected]