JESHI LA MAGEREZA:HAJI MANARA AMELIDHARAU JESHI TUNACHUKUA HATUA HIZI KALI IWE FUNDISHO

Описание к видео JESHI LA MAGEREZA:HAJI MANARA AMELIDHARAU JESHI TUNACHUKUA HATUA HIZI KALI IWE FUNDISHO

#jeshilamagereza #hajimanara #magerezaupdates #tamkolajeshilamagerezakwahajimanaraleo

JESHI la magereza Leo 23.12.2024 limetoa tamko zito Kwa haji manara juu ya tukio alilogomea kutoa gari lake kmc complex akitoka uwanjani kuongea na wanahabari

Alimjibu Kwa kejeli na kumdharau afisa wa jeshi la magereza kitendo hicho kimetafsiriwa kudharau jeshi la magereza

Kwa undani Zaidi tumekuwekea Video nzima ya ufafanuzi wote Hapa MABENA TV

Комментарии

Информация по комментариям в разработке