Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Je Lini Tarehe YA Matarajio ya Ujauzito kwa Ultrasound ni sahihi zaidi? (Je Ultrasound huwa sahihi?)

  • Dr. Mwanyika
  • 2022-09-17
  • 21165
Je Lini Tarehe YA Matarajio ya Ujauzito kwa Ultrasound ni sahihi zaidi? (Je Ultrasound huwa sahihi?)
  • ok logo

Скачать Je Lini Tarehe YA Matarajio ya Ujauzito kwa Ultrasound ni sahihi zaidi? (Je Ultrasound huwa sahihi?) бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Je Lini Tarehe YA Matarajio ya Ujauzito kwa Ultrasound ni sahihi zaidi? (Je Ultrasound huwa sahihi?) или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Je Lini Tarehe YA Matarajio ya Ujauzito kwa Ultrasound ni sahihi zaidi? (Je Ultrasound huwa sahihi?) бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Je Lini Tarehe YA Matarajio ya Ujauzito kwa Ultrasound ni sahihi zaidi? (Je Ultrasound huwa sahihi?)

Matazamio yakujifungua, Matarajio ya Ultrasound yakujifungua, Matazamio yakujifungua, Matarajio,Matarajio ya kujifungua kwa kutumia ultrasound na
Matarajio ya kujifungua kwa Mjamzito.

Bonyeza link hii hapa chini ili kusubscribe channel hii
https://bit.ly/3zQ3IU0

ULTRASOUND NA TAREHE YA MATARAJIO.
Ultrasound hutumika kuangalia Mambo mengi sana kwa Mjamzito.
Mojawapo ya Mambo ya Msingi ambayo Ultrasound hutumika kuangalia ni Tarehe ya Matarajio au Matazamio.

Ultrasound inapofanyika Miezi Mitatu ya Mwanzoni mwa Ujauzito, Mimba ya kuanzia na chini ya wiki 13 na siku 6 huwa na majibu sahihi zaidi ya Tarehe ya Matarajio kuliko kipindi chochote cha Ujauzito.

Ultrasound ikifanyika kuanzia Miezi 4 ya Ujauzito huwa na majibu tofauti na Uhalisia hii ni kwa sababu umri wa Mimba unavyoongezeka majibu ya Ultrasound huwa na tofauti kubwa ukilinganisha na Tarehe ya Matarajio kutokana na siku ya kwanza ya Hedhi ya mwisho.

MAMBO YANAYOWEZA KUATHIRI TAREHE YA MATARAJIO KUTOKA NA ULTRASOUND.
Pamoja na kwamba Ultrasound huwa na majibu sahihi katika kipindi cha Mwanzoni mwa Ujauzito, Majibu yake huweza kuwa na tofauti kubwa kutokana na sababu zifuatazo:

1. Umri wa Mimba/Ujauzito.
Kadiri umri wa Mimba unavyoongezeka ndivyo utofauti wa Tarehe ya Matarajio ya Ultrasound na Tarehe ya Matarajio kutokana na hedhi yako ya mwisho huongezeka.

2. Ujuzi wa Mtu anayefanya Ultrasound.
Tarehe ya Matarajio ya Ultrasound huwa na Uhalisia au kweli zaidi endapo mtu anayefanya Ultrasound ana Ujuzi wa kutosha kuhusu Ultrasound na Upimaji endapo hana Ujuzi wa kutosha majibu huwa ya tofauti kubwa zaidi.

4. Ubora wa Mashine.
Mashine Bora hutoa majibu ya tarehe ya matarajio sahihi zaidi ukilinganisha na Tarehe ya Matarajio kutokana na hedhi ya mwisho tofauti na hapo huwa na majibu ambayo si sahihi.

4. Mkao wa Mtoto.
Endapo Mtoto amekaa vibaya huwa ni ngumu kupata Tarehe ya Matarajio kutokana na Ultrasound ambayo ni sahihi zaidi.


ULINGANISHAJI WA TAREHE YA MATARAJIO KUTOKA NA ULTRASOUND DHIDI YA TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA NA HEDHI YA MWISHO.

Hapa nitakuwa naonesha utofauti wa Tarehe ya Matarajio ya Ultrasound na Tarehe ya Matarajio kutokana na hedhi ya mwisho kulingana na umri wa Ujauzito.

1. MIMBA YA CHINI YA WIKI 13 NA SIKU 6(MIEZI 3 WIKI 1 NA SIKU 6).
Endapo ukilinganisha tarehe ya matarajio kutokana na ultrasound na ile ya hedhi yako ya mwisho,
Kwa kawaida ultrasound huzidisha au kupunguza siku 7. (±7)
Kuna makundi makuu mawili kutokana na Umri wa Mimba/Ujauzito.

a. Mimba ya Umri chini ya Wiki 8 na siku 6.
Tarehe ya Matarajio ya Ultrasound ukilinganisha na Tarehe ya Matarajio kutokana na hedhi ya mwisho.
Kwa kawaida Ultrasound huweza kuzidisha au kupunguza siku 5 (±5)

b. Mimba ya wiki 9(Miezi 2 na wiki1) Hadi wiki 13 na siku 6(Miezi 3, Wiki 1 na Siku 6) Endapo ukilinganisha tarehe ya matarajio kutokana na ultrasound na ile ya hedhi yako ya mwisho,
Kwa kawaida ultrasound huzidisha au kupunguza siku 7. (±7)

3. Mimba ya Wiki 14 (Miezi 3 na wiki 2) hadi Wiki 15 na siku 6 (Miezi 3, Wiki 2 na Siku 6).
Endapo ukilinganisha tarehe ya matarajio kutokana na ultrasound na ile ya hedhi yako ya mwisho,
Kwa kawaida ultrasound huzidisha au kupunguza siku 7(±7).

4. Mimba ya Wiki 16 (Miezi 4) hadi hadi Wiki 21 na siku 6 (Miezi 5 wiki 1 na siku 6)
Endapo ukilinganisha tarehe ya matarajio kutokana na ultrasound na ile ya hedhi yako ya mwisho,
Kwa kawaida ultrasound huzidisha au kupunguza siku 10 (±10).

5. Mimba ya wiki 22 (Miezi 5 na wiki 2) hadi wiki 27 na siku 6 (Miezi 6 Wiki 3 na siku 6)
Endapo ukilinganisha tarehe ya matarajio kutokana na ultrasound na ile ya hedhi yako ya mwisho,
Kwa kawaida ultrasound huzidisha au kupunguza siku 14 au Wiki 2. (±14)

6. Mimba ya wiki 28 (Miezi 7) kwenda juu.
Endapo ukilinganisha tarehe ya matarajio kutokana na ultrasound na ile ya hedhi yako ya mwisho,
Kwa kawaida ultrasound huzidisha au kupunguza siku 21 au wiki 3. (±21).

Hivyo Tarehe ya Matarajio ya Ultrasound hutofautiana zaidi na Tarehe ya Matarajio kutokana na hedhi ya mwisho endapo umri wa Mimba ni mkubwa zaidi.

Endapo ulifanya Ultrasound zaidi ya Mara moja au Mbili ni vema kutumia Tarehe ya Matarajio ya Ultrasound ambayo ilifanyika kwa Mara ya kwanza Mimba ilipokuwa katika Umri mdogo zaidi.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...


#EDDyaUltrasound
#DrMwanyika
#MamaAfya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Je Lini Ultrasound Huanza Kuonesha Mimba KWA Mjamzito? | Lini Ufanye Ultrasound Ili Kuona Mimba??!.
    Je Lini Ultrasound Huanza Kuonesha Mimba KWA Mjamzito? | Lini Ufanye Ultrasound Ili Kuona Mimba??!.
    2 года назад
  • JE TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA YA ULTRASOUND HUWA NI SAHIHI? | TAREHE YA MATAZAMIO YA KUJIFUNGUA!
    JE TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA YA ULTRASOUND HUWA NI SAHIHI? | TAREHE YA MATAZAMIO YA KUJIFUNGUA!
    4 года назад
  • Удар по ядерному объекту / Больницы переполнены
    Удар по ядерному объекту / Больницы переполнены
    7 часов назад
  • Je kwa nini Mjamzito hupimwa (Kimo) Urefu wa tumbo? | Urefu wa tumbo humaanisha umri wa Ujauzito???
    Je kwa nini Mjamzito hupimwa (Kimo) Urefu wa tumbo? | Urefu wa tumbo humaanisha umri wa Ujauzito???
    4 года назад
  • Образовательный контент: от оплодотворения до родов | 3D-медицинская анимация | от Dandelion Team
    Образовательный контент: от оплодотворения до родов | 3D-медицинская анимация | от Dandelion Team
    3 года назад
  • Расположение акушерского ультразвукового датчика | Установка датчика для беременной матки и плода...
    Расположение акушерского ультразвукового датчика | Установка датчика для беременной матки и плода...
    3 года назад
  • НАКОНЕЦ ОН ПРИЗНАЛСЯ, ЧТО СПРЯТАЛ ГУЛЮ ПОД ЗЕМЛЕЙ.НА КЛАДБИЩЕ ДОМАШНИХ ЖИВОТНЫХ.
    НАКОНЕЦ ОН ПРИЗНАЛСЯ, ЧТО СПРЯТАЛ ГУЛЮ ПОД ЗЕМЛЕЙ.НА КЛАДБИЩЕ ДОМАШНИХ ЖИВОТНЫХ.
    1 день назад
  • Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    4 месяца назад
  • Взрыв в Казахстане / Армия перешла границу
    Взрыв в Казахстане / Армия перешла границу
    17 часов назад
  • JE LINI UFANYE ULTRASOUND KTK KIPINDI CHA UJAUZITO? | JE MARA NGAPI UFANYE ULTRASOUND KTK UJAUZITO?.
    JE LINI UFANYE ULTRASOUND KTK KIPINDI CHA UJAUZITO? | JE MARA NGAPI UFANYE ULTRASOUND KTK UJAUZITO?.
    4 года назад
  • JE TENDE HUPUNGUZA UCHUNGU KWA MJAMZITO? | TENDE NA FAIDA ZAKE KWA MJAMZITO?
    JE TENDE HUPUNGUZA UCHUNGU KWA MJAMZITO? | TENDE NA FAIDA ZAKE KWA MJAMZITO?
    3 года назад
  • Измерения плода, советы и рекомендации
    Измерения плода, советы и рекомендации
    5 лет назад
  • Mjamzito Uhudhurie Kliniki Ya Ujauzito Mara Ngapi? | Kipindi Chote Cha Ujauzito!!!
    Mjamzito Uhudhurie Kliniki Ya Ujauzito Mara Ngapi? | Kipindi Chote Cha Ujauzito!!!
    1 год назад
  • JINSI YA KUHESABU SIKU YA KUJIFUNGUA - E.D.D
    JINSI YA KUHESABU SIKU YA KUJIFUNGUA - E.D.D
    5 лет назад
  • Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!.
    Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!.
    4 года назад
  • UKWELI KUHUSU ULTRASOUND MACHINE || USIDANGANYIKE TENA
    UKWELI KUHUSU ULTRASOUND MACHINE || USIDANGANYIKE TENA
    5 лет назад
  • 🤯ОПУХШАЯ Захарова ВОРВАЛАСЬ в эфир!РФ РАЗНОСЯТ взрывы. Трамп ВЛУПИЛ по Путину. Горячие новости 28.02
    🤯ОПУХШАЯ Захарова ВОРВАЛАСЬ в эфир!РФ РАЗНОСЯТ взрывы. Трамп ВЛУПИЛ по Путину. Горячие новости 28.02
    2 часа назад
  • лечебная музыка для сердца и сосудов 🌸 успокаивает нервную систему и радует душу, Нежная музыка #42
    лечебная музыка для сердца и сосудов 🌸 успокаивает нервную систему и радует душу, Нежная музыка #42
    Трансляция закончилась 1 год назад
  • Mama mjamzito anaweza kujifungua kuanzia wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini??
    Mama mjamzito anaweza kujifungua kuanzia wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini??
    5 лет назад
  • Альфред Кох – Путин 1990-х, бандиты, НТВ, Навальный / вДудь
    Альфред Кох – Путин 1990-х, бандиты, НТВ, Навальный / вДудь
    2 дня назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com