MPYA: NATAKA KUFA JAJI- 1 (Season I) SIMULIZI ZA UJAJUSI NA UPELELEZI.

Описание к видео MPYA: NATAKA KUFA JAJI- 1 (Season I) SIMULIZI ZA UJAJUSI NA UPELELEZI.

Picha linaanza mzee mmoja wa miaka kama 50 hivi ila anaonekana bado sana kwa sababu alikua ni bilionea huyu mzee akiwa anarejea nyumbani kwake... Alipofika nyumbani anakuta wakola wanamsubiri na kuna kitu walikua wanakihitaji kutoka kwake... Hakutaka kuwapa hivyo wanamuua kikatili sana yeye na familia yake.. Ila mtoto mmoja wa kiume wa hiyo familia anaokolewa na mlinzi wa nyumba hiyo na kutokomea zake.. Huyo dogo anapotea anakuja kurudi akiwa ni kiumbe wa kutisha sana ...anakabidhiwa mali za baba yake na anapewa historia ya familia yake na hapo anaanza kuwasaka wabaya wake na hao wabaya wake wanapata habari kua kuna masalia ya ile familia.. Wanaanza kutafutana.. Moto uliowashwa hapo waliisoma nambaaaa... Usikose hii kitu ni Fabian Babuya Ft Felix Mwenda...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке