Mahujaji waanza kurejea nchini

Описание к видео Mahujaji waanza kurejea nchini

Baadhi ya Mahujaji wamenza kurejea nchini baada ya kukamilisha ibada yao ya Hijja huko Makka Saudi Arabia ambapo changamoto kubwa imeelezwa kuwa ni uwepo wa baadhi ya wazee ambao hawana nguvu na afya njema ya kuhimili safari nzima ya Hijja.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке