MT. ALOYCE GONZAGA YOMBO KIWALANI - UKRISTO NI ZAWADI na Mtunzi Boniface Mlula (Official Video)

Описание к видео MT. ALOYCE GONZAGA YOMBO KIWALANI - UKRISTO NI ZAWADI na Mtunzi Boniface Mlula (Official Video)

Huu Ni Wimbo Maalumu Kwa Wakristo Wote, Wimbo Ambao Unatukumbusha Sisi Wakristo Wote Kwanza Kujivunia Ukristo Wetu Kwani Ni Zawadi Ambayo Mungu Mwenyewe Ametupa, Lakini Pia Tuache Kutangatanga Kutafuta Miujiza.

KWAYA: MT. ALOYCE GONZAGA YOMBO KIWALANI
WIMBO: UKRISTO NI ZAWADI
MTUNZI: BONIFACE MLULA
MWAKA: 2024
AUDIO AND VIDEO: NEW HOPE PRODUCTION

Комментарии

Информация по комментариям в разработке