GENIUS HAJAWAHI PATA ZERO, KOTE KASOMA KATA, FORM FOUR DIV. 1.7, SIX DIV 1.3

Описание к видео GENIUS HAJAWAHI PATA ZERO, KOTE KASOMA KATA, FORM FOUR DIV. 1.7, SIX DIV 1.3

Leo nakukutanisha na Mwanafunzi ambaye amepata Division One ya 3 katika mayokeo yaliyotangazwa leo na NECTA, Fadhili John Mboya ana umri wa miaka 20 katika maisha yake ya kusoma yote amesoma Shule za Serikali maarufu za Kata, Primary, Olevel alisoma mawenzi ambapo alipata division one ya 7, akaenda Mzunbe ambapo leo amepata One ya 3, Fadhili anatueleza amepokeaje matokeo na safari yake itakuaje.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке