Peace And Love Singers (PnL) | KILINDI CHA HURUMA By Matthias Msafiri (Official Audio)

Описание к видео Peace And Love Singers (PnL) | KILINDI CHA HURUMA By Matthias Msafiri (Official Audio)

Karibu Kusikiliza Wimbo Huu ambao Umebeba Ujumbe Wa Kilindi Cha Huruma,

Wimbo Huu Umerekodiwa Katika Studio za The Galaxy Pro
Sound Engineer ni Peter John (The Tuner) Na Ass. Sound Engineer Mashamba Kapesa

Katika kutafakari Maisha yetu Hasa katika vipindi vigumu na vya furaha Ni lazima Kumshirikisha Mungu wetu Aliye Kilindi Cha Huruma....

Hivyo Basi ungana na sisi ili kuendelea kitafakari nasi...

Karibu usikilize Tunaamini hutajutia..

#KwayaKatoliki #Msafiri #Pnl #TheGalaxyPro #Kmk #Mukasa #KanisaKatoliki #TanganyikaProductions #Rajoproductions #HT

Комментарии

Информация по комментариям в разработке