MABASI YA MAUTI: Full Episode

Описание к видео MABASI YA MAUTI: Full Episode

Usafiri wa wanafunzi wa shule za chekechea na za msingi kwa njia ya mabasi ya shule unaonekana kuwa hatari mno kila uchao. Kitengo cha upekuzi cha KTN News kinaangazia hatari zilizojifcha nyuma ya pazia la rangi za manjano. Ripoti hii inaweka peupe utepetevu unaozidi kushuhudia miongoni mwa washika dau na itakueleza ni kwa nini familia nyingi zinajikuta zikiandaa mazishi badala ya sherehe za siku za kuzaliwa. Mwanahabari Francis Ontomwa na taarifa hii kwa kina

Комментарии

Информация по комментариям в разработке