Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2

  • Rashid Dilunga
  • 2015-01-07
  • 8468
MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2
  • ok logo

Скачать MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2 бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2 или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2 бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2

Kwa karne nyingi watu hawa hawakuwa wakijulikana kama Wayahudi, bali walijulikana kama wana wa Israel (au wana wa Nabii Yakub) kama wanavyotajwa ndani ya Qur'an. Ni wale tu ambao walijitangazia utaratibu wa maisha unaofuata matakwa ya walimu wao wa Sheria, Mfumo ambao ndio wa Kiyahudi na wafuasi wake wakaitwa Wayahudi (yaani wafuasi wa dini ya Kiyahudi)
Kabla ya ujio wa Nabii Isa (AS), Wayahudi waligawanyika makundi mawili. Kuna walioamua kuufuata utaratibu wa kuiheshimu Siku ya Sabato, amri iliyoachwa na Nabii Musa ndani ya Torati. Kundi hili ambalo ndilo kubwa likaitwa la Wasabian (Sabiin) ndani ya Qur'an. Na baada ya ujio Nabii Isa na kuondoka kwake, lilipatikana kundi jingine lililoitwa la Manasara (Wakristo)
Lakini kuanzia karne ya 13, kwa ujumla walianza kuitwa Wayahudi kutokana na neno la Kirumi la Judea, lililomaanisha eneo walilopewa kukaa kabila moja la Yuda iliko Yerusalemu. Kabila hili miongoni mwa makabila 12, ndilo lililokuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa kujitawala kutoka kwa watawala wao Warumi.
Hadi Mtume Muhammad (S.A.W) anahamia mjini Madina, tayari aliyakuta baadhi ya makabila ya Kiyahudi, yaliyokuwa yamelowea katika eneo hilo.
Kuhamia kwa Wayahudi mjini Madina na sehemu nyingine za Waarabu kulitokana na sababu kadhaa na miongoni mwazo mbili ndizo huwa zinapewa umuhimu. Sababu ya kwanza, inasemekana kwamba Wayahudi walikuwa wanatarajia ujio wa Nabii mwingine atakayekuwa na nguvu ya kuwakomboa Wayahudi kutokana na kutawaliwa na Dola za kigeni, na kwamba kulikuwa na dalili katika maandiko yao, za Nabii yule kutokea katika nchi za Mashariki. Hivyo baadhi ya makabila ya Kiyahudi yalihamia mashariki katika ardhi za Waarabu wakidhani kuwa kama Nabii huyo atakapotokea basi atokee katika mojawapo ya kabila zile za kihamiaji.
Sababu ya pili ni kwamba katika mwaka 70 AD, Jenerali wa Kirumi aliyeitwa Titus, alipigana na Wayahudi na kufanikiwa kuiteka Yerusalemu na hivyo kukomesha utawala wa Kiyahudi katika ardhi ya Wapalestina. Kufuatia hali hii wengi katika makabila ya Kiyahudi hawakupenda kutawaliwa wakihofia maisha yao, walikimbia na kuhamia katika nchi za Kiarabu na kuyakalia mabonde yenye rutuba kwa ajili ya kilimo na biashara. Kwa hatua hii wakawa walowezi katika nchi za Waarabu. Hadi mwanzoni mwa karne ya 7, makabila matatu ya Kiyahudi yalishaweka makazi yao mjini Madina, wakati ule ikiitwa Yathrib. Mji huu uliitwa Madina (Madinatun-Nabiy) baada ya ujio wa Mtume Muhammad (S.A.W) kwa heshima yake.
Msuguano kati ya Waislam na Wayahudi, ulianza baada ya Mtume kuhamia Madina. Kadiri alivyoendelea kuwa maarufu na kukubalika kama Kiongozi wa umma, ndivyo ilivyozidi chuki ya baadhi ya Wayahudi dhidi yake. Kuna waliomkubali, na kuna wengine waliomkataa waziwazi na wengine kwa kujificha (wanafiki). Kwa kuwa Mtume alilenga katika kuijenga jamii yenye kufuata misingi ya amani, haki na usawa, Wayahudi walimuona kuwa ni tishio dhidi ya maslahi yao yaliyotokana na mufumo wao wa kinyonyaji.
Pia kwa kuwa alikuwa ni Mtume, walikuwa wakimpinga na kuhojiana naye kutokana na kuzikosoa baadhi ya tafsiri za maandiko yao, wakisema hakuwa na maarifa juu ya mambo ya kiroho. Lakini kutokana na kushindwa kwao kuitoa kosa Qur'an, wengi wa Wayahudi wa Madina walimuona Muhammad kama Mtume wa kweli na kuamua kusilimu na kumfuata, licha ya wengine kuendeleza ubishi wao na mashaka.
......Sasa fuatana na Sheikh Suleiman Kilemile kutoka Tanzania, katika Mada hii inayowahusu Wayahudi...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 3
    MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 3
    11 лет назад
  • MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 1
    MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 1
    11 лет назад
  • Miujiza ya Mtume SAW - Sheikh Suleiman Kilemile
    Miujiza ya Mtume SAW - Sheikh Suleiman Kilemile
    12 лет назад
  • Гудков. Покушение на Путина! Идут расправы над генералами! Танки в Минске: Путин сносит Лукашенко
    Гудков. Покушение на Путина! Идут расправы над генералами! Танки в Минске: Путин сносит Лукашенко
    5 часов назад
  • ⚡️ГОРДОН: Всплыл РЕАЛЬНЫЙ СЦЕНАРИЙ конца ВОЙНЫ. Полный КРАХ РФ НЕИЗБЕЖЕН. Лютый ОТВЕТ США по Путину
    ⚡️ГОРДОН: Всплыл РЕАЛЬНЫЙ СЦЕНАРИЙ конца ВОЙНЫ. Полный КРАХ РФ НЕИЗБЕЖЕН. Лютый ОТВЕТ США по Путину
    6 часов назад
  • Uislam na amani ya Ulimwengu - Sheikh Suleiman Amran Kilemile
    Uislam na amani ya Ulimwengu - Sheikh Suleiman Amran Kilemile
    10 лет назад
  • Провал Кремля: Путин подсунул Трампу ложную победу /№1100/ Юрий Швец
    Провал Кремля: Путин подсунул Трампу ложную победу /№1100/ Юрий Швец
    2 часа назад
  • SHEIKH KILEMILE-MWISHO WA MAISHA YA VIUMBE
    SHEIKH KILEMILE-MWISHO WA MAISHA YA VIUMBE
    10 лет назад
  • Альфред Кох – Путин 1990-х, бандиты, НТВ, Навальный / вДудь
    Альфред Кох – Путин 1990-х, бандиты, НТВ, Навальный / вДудь
    1 день назад
  • Sheikh Amran Kilemile - Tafsiri Ya Quran Suratul Kahf Aya Ya 102 - 110
    Sheikh Amran Kilemile - Tafsiri Ya Quran Suratul Kahf Aya Ya 102 - 110
    6 лет назад
  • SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA
    SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA
    10 лет назад
  • Время Махди пришло | Последний день [8 часть] | Умар ибн Абдуль-Азиз, Шейх Нуруддин
    Время Махди пришло | Последний день [8 часть] | Умар ибн Абдуль-Азиз, Шейх Нуруддин
    3 года назад
  • В Москве рухнул дом: видео. Дроны летят на столицу России. Путин и искусственное сердце | ВОЗДУХ
    В Москве рухнул дом: видео. Дроны летят на столицу России. Путин и искусственное сердце | ВОЗДУХ
    8 часов назад
  • Старлинк и блокировка Telegram. Борьба за нравственность. Дочь Ына/ Герасимова и ядерная кнопка. СПЧ
    Старлинк и блокировка Telegram. Борьба за нравственность. Дочь Ына/ Герасимова и ядерная кнопка. СПЧ
    Трансляция закончилась 5 часов назад
  • Пропагандисты РФ Мардан и Багдасаров призвали похитить Пашиняна  и совершить переворот  в Армении.
    Пропагандисты РФ Мардан и Багдасаров призвали похитить Пашиняна и совершить переворот в Армении.
    10 часов назад
  • "Безнадежный тупик. Кругом одно вранье!" Гиркин подвел итог 4 лет СВО
    8 часов назад
  • Остров на котором живёт Даджаль | Последний день [9 часть] | Умар ибн Абдуль-Азиз, Шейх Нуруддин
    Остров на котором живёт Даджаль | Последний день [9 часть] | Умар ибн Абдуль-Азиз, Шейх Нуруддин
    3 года назад
  • Полная история суры
    Полная история суры "Ясин"
    2 месяца назад
  • Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile - Part 3
    Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile - Part 3
    11 лет назад
  • Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu- Sheikh Suleiman Kilemile - Part 1
    Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu- Sheikh Suleiman Kilemile - Part 1
    10 лет назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com