Q-CHIEF sasa ni MGANGA na anatibu watu, alioteshwa ndotoni, afunguka VITA na ndugu, mateso, vilio

Описание к видео Q-CHIEF sasa ni MGANGA na anatibu watu, alioteshwa ndotoni, afunguka VITA na ndugu, mateso, vilio

Sehemu ya kwanza ya #ChillnaSky tukiwa na Q-Chief, anaelezea alivyoandaa jambo kusherehekea birthday yake May mwaka huu lakini pia chanzo cha vita na ndugu zake upande wa baba. Kwa mara ya kwanza, anafunguka pia kuoteshwa na kupewa mamlaka ya kutibu watu, karama ambayo anasema alikuwa ameandaliwa kuwa nayo tangu zamani

Комментарии

Информация по комментариям в разработке