Usafiri wakatizwa JKIA, Kisumu, Mombasa na Eldoret huku mgomo wa wafanyikazi uking'oa nanga

Описание к видео Usafiri wakatizwa JKIA, Kisumu, Mombasa na Eldoret huku mgomo wa wafanyikazi uking'oa nanga

Mgomo Wa Wafanyikazi Wa Viwanja Vya Ndege Umeng'oa Nanga Huku Shughuli Za Usafiri Zikitatizika Katika Uwanja Wa Ndege Wa Jkia. Uwanja Huo Wa Ndege Umeshuhudia Msongamano Mkubwa Wa Wasafiri Ambao Wanalalamikia Kucheleweshwa Kwa Safari Zao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке