SAFARI BY HIS ENVOYS MINISTERS Official Video 4K

Описание к видео SAFARI BY HIS ENVOYS MINISTERS Official Video 4K

#gctv #karen #sda #brightstarmedia #snkfilmproduction

Zaburi 119:105
'Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu'
Zaburi 23:4
“Hata nikitembea katika bonde lenye kivuli kizito, siogopi madhara yoyote, kwa maana wewe uko pamoja nami; fimbo yako na gongo lako hunipa uhakika.”
2 Wakorintho 4:17-18
17 'Tuna masumbufu, lakini ni madogo na ni ya muda mfupi. Na masumbufu haya yanatusaidia kuupata utukufu wa milele ulio mkuu kuliko masumbufu yetu. 18 'Hivyo twafikiri juu ya mambo tusiyoweza kuyaona, si tunayoona. Tunayoyaona ni ya kitambo tu, na yale tusiyoyaona yanadumu milele.

CREDITS TO:
Composer: Tony Asugo
Arrangement: Tony Asugo
Studio: Bright Star Media
Video: GCTV
SDAC KAREN COMMUNITY-KENYA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке