Dar es Salaam itajivua vipi taji la kuwa miongoni mwa miji michafu zaidi duniani ?

Описание к видео Dar es Salaam itajivua vipi taji la kuwa miongoni mwa miji michafu zaidi duniani ?

Muongo mmoja uliopita, jiji kuu la Tanzania, Dar es salaam ulitajwa kuwa namba 12 katika orodha ya miji michafu zaidi duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes.
Mji huu huzalisha tani 4000 za takataka kila siku!
Tulanana Bohela anakutana na raia wa Tanzania aliyegeuza taka kuwaa utajiri #taka #tanzania #daressalaam #uchafu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке