Anastacia Muema- Shukrani Yangu (Official Video)

Описание к видео Anastacia Muema- Shukrani Yangu (Official Video)

Unapoyatafakari maisha ya mwanadamu, ni ukweli usiofichika kwamba kila aliyeumbwa na Mungu anayosababu ya kumwambia Mungu asante. Wema wa Mungu, Neema za Mungu, Baraka za Mungu, na Huruma ya Mungu kwetu ni sababu tosha ya kumwambia Asante. Ungana nami katika kumwimbia Mungu wimbo wa Shukrani. Tukumbuke, Kushukuru ni kuomba tena.
Kila anayesikiliza wimbo huu, namwombea shukrani yake ikapate kupokelewa na Mungu wetu Mkuu.
Wimbo huu umetungwa naye Ray Ufunguo,
Kinanda kikachezwa na yeye Ray Ufunguo,
Kisha audio na Video kufanywa na RAJO Productions.

Mungu wa Mbinguni azidi kutubariki.

Follow me through the following social media platforms
Instagram-   / anastacia_muema  
Facebook Page-   / 5314230808601174  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке