Bradley Marongo asema ndiye mtu mrefu zaidi humu nchini

Описание к видео Bradley Marongo asema ndiye mtu mrefu zaidi humu nchini

Bradley marongo mkazi wa Kangemi, Jijini Nairobi amejitangaza kuwa biadamu mrefu zaidi nchini kenya...Mwanaume huyu mwenye umri wa miaka 27 anasema kwamba urefu wake wa futi 8 umempa umaarufu mtandaoni hasa alipopigwa picha wakati wa maandamano ya Gen-z jijini Nairobi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке