Kilimo Biashara | Kilimo cha nyasi kaunti ya Nakuru

Описание к видео Kilimo Biashara | Kilimo cha nyasi kaunti ya Nakuru

Mkulima mmoja kutoka raia wa Uchina amegeuza kaunti ya Nakuru kuwa kitovu cha lishe kwa mifugo. Jak Liu ameanzisha kilimo cha nyasi aina ya mabingobingo akisema ni suluhu kwa mabadiliko ya hali ya anga na kukimu mahitaji ya wafugaji. Na sasa mkulima huyu anaitaka serikali kuu na zile za kaunti kukumbatia teknolojia hii kama njia ya kukabiliana na ukame unaosababisha maafa ya mifugo na hasara kwa wakulima.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке