SIMULIZI MPYA: MISS ABBY part 01, By Ankojay

Описание к видео SIMULIZI MPYA: MISS ABBY part 01, By Ankojay

Mimi si mtu wa kwenda kanisani saana, Hasa huwa ninakwenda kanisani kwenye matukio maalumu tu. Ila Kuna jumapili moja ambayo ilikuwa si krismasi wala si pasaka na wala haikuwa mwaka mpya.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке