WENGI WANAOKUJA BONGO NI WAFUNGWA| KUNYONYESHA NI MIEZI MITATU TU | MWANAMKE NDIO KICHWA CHA FAMILIA

Описание к видео WENGI WANAOKUJA BONGO NI WAFUNGWA| KUNYONYESHA NI MIEZI MITATU TU | MWANAMKE NDIO KICHWA CHA FAMILIA

Ashura yupo kwenye ndoa na Mchina zaidi ya miaka 10 sasa, ametufatia darasa kubwa juu ya utofauti wa kitamaduni, malezi ya watoto na kwanini wachina wengi wametelekeza watoto Tanzania.

Wengi wanaokuja kufanya kazi kwenye projects kubwa ni wanakua wanatumikia kifungo cha huko kwao.
Na hivyo baada ya kazi hurudi kwao kumalizia kifungo chao na wadada wengi huamua kuzaa nao na kumbe ni wanajiletea matatizo.

Thank you Ashura for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке