Achillian ft Mfalme Jeffrey LUCIFER S4(official music audio)

Описание к видео Achillian ft Mfalme Jeffrey LUCIFER S4(official music audio)

LUCIFER 4


Umenitosha kwenye dharuba ya ubandia
Umenipeleka nchi kavu kwenye kutulia
Ujana maji ya moto, umefanya ya baridi
Umenitowa getho mimi mkahidi

Thank you God

BILA MUNGU SITOBOI yes
BILA MUNGU SITOBOI yeh eh
BILA WEWE HATUTOBOWI mmh djeah
BILA MUNGU SITOBOI mmh


Mbele ya yote naomba Mungu wangu
Yeye njo anajua maisha yangu
Nikiwa nae mimi sipotei
Nini itatuma sitoboi?
Acha miniseme amina Kwa yote ambayo anayo nitendea
Acha niseme asante Bwana kwa yote ambayo unayo nitendea

Wengine aseme niroge ili mbele ni songe
Mini mtoto wa yesu pamoja na Mungu mimi ndatoboa
Bya shetani habiruhusu alie niumba naimani ataniokoa

Eh bila wewe siweziweza
kila wakipima bado natereza
Pamoja na MUNGU naisi ntaangaza
Mambo ya devil, mambo ya ovyo
Mbele ya Mungu nasema sitaki
Nina malengo, nina mpango
Nifungue mlango ya yangu riski

Wewaza nimekua star inaomba ulozi
Ma bangi mitungi na mwisho wana loose
Machipukizi wanaleta mapozi
Ugangi ugangi na hawana kazi

Sasa Acha niwa diss nikiwa na Mungu na sina wasi
Yes jesus is my protect
Rap ya kivu nai project
Ndomana wananema sema wana pinga pinga
wana chongachonga Ila bado Mungu wangu iko
Wana chimba shimo wanaanguka wenyewe
Minawaambia ambia ni byabobyabo

Palipo shimo niepushe nivuke
Nikitaka teleza nisaidie nisianguke


WENJO MUNGU, MUWEZA YOTE
TUMAINI LETU, TATUWA SHIDA ZETU
MWEZA YOTE, TUMAINI LETU
TWAKUPA SHIDA ZETU

alléluia
Ah
Kwa mara nyingine nakuja mbele zako baba
Ni mimi wala sio mwingine Mwanao naitaji tiba
Kwa mara nyingine nimekosa nisamee Baba
Mwanao sijakamilika

Jehova jire, jehova shama, jehova nisi,jehova rafa
Pumzi bure leo nahema sitakuasi hata nikifa
Asie tumika asile, weulisema
Tupe mkate nasi, okoa taifa
Ajira ni tele, makazi noma❌
Wanao tunaangamia kwa kukosa maarifa

Shiloh! Jehovah! Eloïm!
Nkolo! Tolová ópesa biso bakonzi ya bien
Sapilo never mais usine eza na mboka
Aba na aba ujaza kibaba

Bilizani kipaji pekee kinatosha, kitanilisha,
Familia nitaivusha
Kwetu elimu haijatosha, inatusha🥶
Connaaissance njo maisha

Tunaishi na aina za watu
wenye roho zao tuh za kutu
Watakuteta, watakusifu siku tuh ukivua viatu
Atuna kitu na hatukose kitu
Mana tunajua akuna mtu bila watu
Eh Mungu teta na wanao teta nami baba
roho zao chafu
Low!
Ulisema ombeni mtapewa
mwanao nimeomba bila kutereka
Leo akuna kazi bila dawa
Nina mwanga wa jua ila sjamulika
Kama binadamu tumeombwa sawa
Hatuitaji machawa tushushie baraka
Weye bdie Mungu unae gawa
Usipo nipa baraka nipe hata fizi nitaridhika

Hiiiiiii ni bya kiroho hauwezi elewa

Iyi tour mbaka balombe msamaha
Vesi zangu mipanga zinawakata tamaa
Iyi tour atasadiki thomas
Akuna bya mafoyi si mtaona roman

WENJO MUNGU, MUWEZA YOTE
TUMAINI LETU, TATUWA SHIDA ZETU
MWEZA YOTE, TUMAINI LETU
TWAKUPA SHIDA ZETU

Usijaribu izi fow nyumbani
Iyi inaitwa weka mbali na watoto
MWALIMU JEFFREY na MR CHAMPION

ni bya kiroho hauwezi elewa weee

Комментарии

Информация по комментариям в разработке