'Vijana Wenye Sifa za Kukopesheka' - Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Frank Nyabundege

Описание к видео 'Vijana Wenye Sifa za Kukopesheka' - Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Frank Nyabundege

"Vijana wenye sifa za kukopesheka watajiandikisha kwenye mkoa mfano kijana atasema labda anataka kufuga mbuzi au ng'ombe wa maziwa.

Mfano kijana anataka kwenda kulima Mkinga, Tanga na umepata eneo ambalo limetengwa na Serikali ya mkoa ataungana na vijana wenzake wa pale wataanza kulima. Na benki yetu tuna 'finance' mnyororo mzima kuanzia uandaaji wa shamba, mbolea tutamsaidia kuvuna yale mazao yanayopatikana tutahakikisha tumeshatafuta na soko. Tunamuunganisha mkulima na soko. Na sehemu mojawapo tunayoifanya sisi ni kutengeneza viwanda vya kuchakata mazao ambao yatalimwa mashambani. Tunatoa mikopo kwenye mnyororo mzima wa kilimo kuanzia kwenye kulima hadi kwenye kutafuta masoko ya mazao" Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Frank Nyabundege.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке