Jux - Sawa (Official Lyrics Video)

Описание к видео Jux - Sawa (Official Lyrics Video)

Jux delivers the official lyrics video for Sawa.

Available to download / stream: http://africori.to/sawa.oyd

© 2021 African Boy

Follow Jux:
Facebook:   / juma-jux-553​  
Instagram:   / ​  
Twitter:   / africanboyjux​  


Jux – Sawa Lyrics.

Verse:1
Mbona kama chama pinzani
Kila siku matatizo
Inaniathiri ndani kwa ndani (aaah)
Naikosa chanjo (oooh)

Pre-Chorus:
Acha visa na sononeko la moyo
Usingizi sipati
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma
Umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama
Kwako sioni (eeiyee)

Chorus:
Nimeshika makali mpini wewe
Nasema sawa sawa (eeeh)
Unikate vipande vipande
Mama sawa sawa (uuuuuh)

Verse:2
Uishiwi kisirani
Yani kila muda umenuna
Sasa mimi ntaongea na nani (aah)
I wish ungejua unavyouma

Pre-Chorus:
Yani bora nilewe
Usingizi sipati
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma
Umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama
Kwako sioni (eeiyee)

Chorus:
Nimeshika makali mpini wewe (wewe)
Nasema sawa sawa (sawa sawa) (eeeh)
Unikate vipande vipande (ooh)
Mama sawa sawa (sawa sawa) (uuuuuh)
Nimeshika makali mpini wewe (eeeiyeee)
Nasema sawa sawa (sawa sawa) (eeeh)
Unikate vipande vipande

Mama sawa sawa (uuuuuh)

#Jux #Sawa #KingOfHearts

Комментарии

Информация по комментариям в разработке