YESU AMENIOKOA - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 165

Описание к видео YESU AMENIOKOA - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 165

Philippians 1:6
Being confident of this, that he who began a good work in you will carry it on to completion until the day of Christ Jesus.

#PAPI_CLEVER_DORCAS
#AHADI_ZOTE_ZA_MUNGU_WETU
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP

Audio Producer : Papi Clever
Pianist : Merci
Video Director : MUSINGA
Assistant Director : CHRISPEN
CLEDO MUSIC
location : RUBAVU

You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : [email protected]

NO 36 NYIMBO ZA WOKOVU

1
Yesu ameniokoa, amenipa utulivu. - Jesus has saved me, he has given me peace.
Kwake ninaona raha, ninataka kumsifu. - I see pleasure in him, I want to praise him.

Haleluya, haleluya! Nimefika bandarini. - Hallelujah, hallelujah! I have arrived at the port.
Haleluya, haleluya! Jina lake ni mnara. - Hallelujah, hallelujah! Its name is a tower.

2
Kwa furaha ninaimba wimbo mpya wa wokovu. -With joy I sing a new song of salvation.
Nisichoke kamwe hapa kumwimbia Mkombozi. - May I never get tired of singing to Mkombozi here

3
Ni habari za neema zakupasha pande zote. - It is news of grace that warmed all around.
Mhubiri, enda mbio kufikia nchi zote! - Preacher, run to reach all countries!

4
Yesu, siku nita’kufa na maisha ni tayari, - Jesus, the day I die and life is ready,
‘nichukue kwako juu penye raha ya milele! - take me up to you where there is eternal pleasure!

#kenyagospel
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs

Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке