Prof Kabudi ajibu uvumi kunyimwa msaada/Akumbusha 'Tanzania sio nchi ndogo'

Описание к видео Prof Kabudi ajibu uvumi kunyimwa msaada/Akumbusha 'Tanzania sio nchi ndogo'

#Prof.Kabudi #Mamboyanje #
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.Palamagamba Kabudi amesema Tanzania haijawahi kupigishwa magoti kisa misaada ya nchi za Ulaya.
Prof.Kabudi amesema hayo akiongea na Wafanyakazi wa Wizara hiyo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке