TAZAMA DIDY ANYIMWA ZAMANA KWA KESI ZINAZO MKABILI,;BURNA BOY NAE AONYESHA MABULUNGUTU YA PESA.

Описание к видео TAZAMA DIDY ANYIMWA ZAMANA KWA KESI ZINAZO MKABILI,;BURNA BOY NAE AONYESHA MABULUNGUTU YA PESA.

P Diddy rapa na msanii wa marekani anyimwa zamana kutokana na kesi zake za unyanyasaji wa kingino kwa watoto wakike, ambapo jana mapema anyimwa zamana mahakamani ambapo kulikuwepo na shauli lake, na licha yakutoa kiasi cha dollar milioni 50 ambayo ni sawa na ela ya kitanzania shilingi bilioni 136 , lakini mahakama ilikataaa zamana yake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке