ALLY KAMWE" DUBE ATAWAFUNGA SANA/CHAMA HAWEZI KUCHEZA SIMBA TENA/WANAOKOTA OKOTA WACHEZAJI/AZIZ KI

Описание к видео ALLY KAMWE" DUBE ATAWAFUNGA SANA/CHAMA HAWEZI KUCHEZA SIMBA TENA/WANAOKOTA OKOTA WACHEZAJI/AZIZ KI

Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali kamwe Leo July 7,2024 amezungumza na Mpenja Tv,punde tu alipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport akitokea Mbeya, Aidha amefunguka kuhusu usajili unaoendelea huku akigusia kuhusiana na usajili wa Prince Dube.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке