NYUMBA ZAZAMA KATIKATI YA MAJI KIGOMA “NIMEPOTEZA MILIONI 20, TRA KODI SILIPI TENA”

Описание к видео NYUMBA ZAZAMA KATIKATI YA MAJI KIGOMA “NIMEPOTEZA MILIONI 20, TRA KODI SILIPI TENA”

Wahanga wa mafuriko katika eneo la Katubuka Manguruweni Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma wameiomba Serikali kutoa msaada kabla ya mvua hazijaongezeka  ili kuepukana na madhara zaidi.

Katika msimu wa mvua wa Mwaka 2020/21 takribani kaya 50 zililazimika kuhama makazi yao kutokana na maji kujaa katika eneo hili ambalo wanadai kuuuziwa na Serikali huku likiwa na historia ya kujaa maji kila baada ya muda fulani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке