Vaileth Mwaisumo - Nisaidie (Official Music Video) SMS SKIZA 8089708 to 811

Описание к видео Vaileth Mwaisumo - Nisaidie (Official Music Video) SMS SKIZA 8089708 to 811

Nisaidie ni wimbo unaoelezea namna ambavyo MUNGU ni msaada Nyakati zote Lengo la wimbo huu ni kutia moyo mtu kwamba wakati ambao huoni pa kukimbilia, huoni njia YEYE MUNGU ukimwendea atakusaidia na hawezi kukuacha uangamie. #VailethMwaisumo#Nisaidie#OfficialMusic.Channel Administered by Huru Digital
Instagram:   / hurudigital  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке