IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)

Описание к видео IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)

Wimbo huu maalumu uliandaliwa na kuimbwa siku ya msiba baada ya kifo cha mwanakwaya mwenzetu Ndugu Marco Joseph Bukuru ambae alikuwa ni Mwenyekiti,mwimbishaji na Mwalimu msaidizi kwenye Zabron Singers.

Kwa mavumbi tuliumbwa,mavumbini tutarudi. Mwanzo 3:19
#msiba #zabronsingers #imeniumasana

Комментарии

Информация по комментариям в разработке