Jinsi Ya Kutengeneza Karanga Za Mayai Tamu Kwa Urahisi.

Описание к видео Jinsi Ya Kutengeneza Karanga Za Mayai Tamu Kwa Urahisi.

Mahitaji
Karanga vikombe 4
Sukari grams 70
Chumvi kijiko 1 Cha chai
Vanilla kijiko 1 Cha chai
Mayai 3
Maziwa ya unga vijiko 2 vya chakula
Mafuta ya kukaangia
Unga wa ngano vikombe 2














#Karangazamayai #tengenezakarangazamayai #karangazamayainyumbani #kupikakarangazamayai #karangakukaangazamayai

Комментарии

Информация по комментариям в разработке