Wanafunzi Club ya Mazingira SUZA wahimizwa Upandaji wa Miti wakati wote

Описание к видео Wanafunzi Club ya Mazingira SUZA wahimizwa Upandaji wa Miti wakati wote

#MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv #Enjoy_Digital_Content
"Msisubiri Siku ya Mazingira ndio kupanda miti, pandeni miti wakati wote"-Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza wakati wa Mahafali ya Tatu ya Klabu ya Mazingira ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Juni 22, 2024.


Tembelea Blog yetu
https://michewenidigitaltv.blogspot.com/

Комментарии

Информация по комментариям в разработке