Muhammad Muhiya (Shauqy)

Описание к видео Muhammad Muhiya (Shauqy)

Huyu ni Muhammad Muhiya (Shauqy) hii ilikua ni Mashindano ya hifdhi Qur'an Tanzania 1997, na aliibuka mshindi wa pili kwa Juzuu 7. Ni Fannani mkubwa sana hapa Tanzania ni mwenye kipaji Inshallah Allah amuongezee. Mashindano haya yameandaliwa na TAASIS YA KUHIFADHISHA QURAN TANZANIA chini ya M/kiti wake Shekh OTHMAN ALLY KAPORO.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке