Muki Rai - "Jaa Ngori" feat. Mula Dave (Official Music Video)

Описание к видео Muki Rai - "Jaa Ngori" feat. Mula Dave (Official Music Video)

Written & Performed by Muki Rai & Mula Dave
Produced, Mixed & Mastered by Arcane Krispah
Shot & Edited by Qubic Jimsam

LYRICS:
Argh!
Utiaji imezidi!

Hook:
Nimekula moto, Nimejaa ngori
Bakia tu kulipuka kuliko lori ya irori
Vile nilisota, nilikuwa chupri
Buda huskii kwa pori me sikuwa ata na ing'ori
Amini, Ah, amini usiamini
Amini usiamini asiyekujua hakudhamini
Pindi tu nitiapo bidii kuwa kali ndio jua inazidi
Apana, Zi, apana si umbleina
Apana si umbleina na hali yangu napambana
Watch my destiny manifest usniekee lawama
Though nimekula moto, nimejaa ngori
Bakia tu kulipuka kuliko lori ya irori

Verse 1 (Muki Rai):
Ni kama high blood pressure vile adrenaline inantesa
Design naOtea pesa inafanya usiku nakesha
Ni mradi kugonga mwamba, a trillion quadrilemmas
Kumbe pia kumeza pamba inaezanitendekea mapema huh
Out-and-about up-and-coming where I be
Over the past couple of years I've been stuck in between
Being the biggest wannabe and the next big thing
Just an avid dreamchaser but these streets got me feeling
Like I'm deadlines overdue, so what else is left to do
Except to keep third-wheeling through patrons and gatekeepers
Juu after kupiga wera hesabu huskii ni syntax error
Ntajihakikishia haki yangu ata ikibidi ni cause terror

Hook:
Nimekula moto, Nimejaa ngori
Bakia tu kulipuka kuliko lori ya irori
Vile nilisota, nilikuwa chupri
Buda huskii kwa pori me sikuwa ata na ing'ori
Amini, Ah, amini usiamini
Amini usiamini asiyekujua hakudhamini
Pindi tu nitiapo bidii kuwa kali ndio jua inazidi
Apana, Zi, apana si umbleina
Apana si umbleina na hali yangu napambana
Watch my destiny manifest usniekee lawama
Though nimekula moto, nimejaa ngori
Bakia tu kulipuka kuliko lori ya irori

Verse 2 (Mula Dave):
Wanapenda usoro maSnitching, warazi
Wanabonga tu sana kwa tenje, mdomo
Huku East utamangwa hadi tenje, nangoz
Kwa vibenje maCheddar zipotee, mteja
Nikibonga hakuna kucheka, kubonda
Nina ngori na mbogi ya NaCADA, Nacada
Hawataki vijana wanyanye, kuririma
Nina ngori na mbogi ilinyang'anya Muki tenje
Tukipatana itabidi tu ni ngumi zitembee
Ni danger tu, ki Dejavu, nafanya
MaRapper wabaki wameshika mashavu
Guns na Spear zimefanya nifike here
Gangster tear haiwezifanya me nikufear
So mimi si fear itabaki nimetaja marapper
Wana vako ka za Britney Spears
Nakick masnare nawacha marapper wakinistare, Mula Dave

Hook:
Nimekula moto, Nimejaa ngori
Bakia tu kulipuka kuliko lori ya irori
Vile nilisota, nilikuwa chupri
Buda huskii kwa pori me sikuwa ata na ing'ori
Amini, Ah, amini usiamini
Amini usiamini asiyekujua hakudhamini
Pindi tu nitiapo bidii kuwa kali ndio jua inazidi
Apana, Zi, apana si umbleina
Apana si umbleina na hali yangu napambana
Watch my destiny manifest usniekee lawama
Though nimekula moto, nimejaa ngori
Bakia tu kulipuka kuliko lori ya irori

Verse 3 (Muki Rai):
Nisamehe kwa kuhisi ni ka hunijali Jalali
Ni kama laana sio bahati kunibarikia kipaji
Iwapo hii zawadi ni ahadi thibitisho ndio nahitaji
Thibitisho tu ni ganji, suluhisho dhidi ya utiaji
Juu huskii Muki me niko na story 
Kuhusu vile watu hujenga gorofa kwa hewa
Wakipiga udaku mahali ka Shimo La Tewa
Labda mjadala badala kiko ndio walifaa kupewa
Ndio wapunguze swara fikra zikishapepea
Juu hizo kukuru kakara zao ni shaghala baghala
Mamokoro wana makoro mamorio hawanitakii mazuri
Hadi sa mutaratara ni kutamura mamurata

Hook:
Nimekula moto, Nimejaa ngori
Bakia tu kulipuka kuliko lori ya irori
Vile nilisota, nilikuwa chupri
Buda huskii kwa pori me sikuwa ata na ing'ori
Amini, Ah, amini usiamini
Amini usiamini asiyekujua hakudhamini
Pindi tu nitiapo bidii kuwa kali ndio jua inazidi
Apana, Zi, apana si umbleina
Apana si umbleina na hali yangu napambana
Watch my destiny manifest usniekee lawama
Though nimekula moto, nimejaa ngori
Bakia tu kulipuka kuliko lori ya irori

#ChiniYaMajiInc

Check out Muki Rai:
Soundcloud:   / muki-rai  
Facebook:   / chini.ya.maji.inc  
Twitter:   / muki_rai  
Instagram:   / muki_rai  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке