Nasheed: WAACHE WACHEKE

Описание к видео Nasheed: WAACHE WACHEKE

Msomaji: ALWAN K.
studio: NEW STAR RECORDS

Nasheed hii inaonyesha ni kwa kiasi gani watoto mayatima wanavyodhalilika katika baadhi ya familia.
WAACHE WACHEKE ni jina ambalo tumeona linasadifu kwa nasheed hii kwa vile mateso ambayo watoto hao wamekuwa wakiyapata hutokezea baadhi ya watu nao kuyafurahia badala ya kupeana waadhi na wenzao kutofanya hivyo.
Aidha tunatakiwa tujue kuwa maisha ni mzunguko leo wewe kesho ni mwenzio, unayemdharau leo huenda kesho akawa ndio msaada kwako. Itazame nasheed hii WAACHE WACHEKE bila shaka utajifunza mengi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке