NIMEZIKA WATOTO 7 I ANDREW KIWELOH

Описание к видео NIMEZIKA WATOTO 7 I ANDREW KIWELOH

andrew kiweloh
ni muimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Aliongea na Praise Tv na kuieleza kwa masikitiko makubwa kuwa huyu ni mtoto wa saba anazika
Andrew kiweloh na mkewake kutoka Nchi jirani ya Kenya
hivi juzi walifiwa na mtoto wao mpendwa wa kiume waliompa jina la fevour na kufikisha idadi ya watoto saba
anawashukuru sana waimbaji wote,wachungaji na wadau wote wa injili kwa kumtia moyo
Pia ameishukuru Praise tv kwa moyo wa upendo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке