JINSI YA kutengeneza unga wa lishe

Описание к видео JINSI YA kutengeneza unga wa lishe

Jifunze namna ya kutengeneza unga wa lishe nyumbani kwa njia rahisi

MAHITAJI

Mahindi ya kawaida 1kg
Mahindi ya njano 1kg
Mchele 1kg
Ulezi 1kg
Mbegu za maboga 1/4 kg
Soya 1/4kg


Music: Solitude
Musician: Rook1e

Комментарии

Информация по комментариям в разработке