HOTEL YA KISASA ILIYOJENGWA MKOANI MOROGORO.

Описание к видео HOTEL YA KISASA ILIYOJENGWA MKOANI MOROGORO.

Na.Vedasto George. Morogoro

Morena hoteli iliyopo mkoani Morogoro karibu na stendi ya mabasi ya Msavu inatajwa kuwa ndo Hoteli kubwa kuliko zote mkoani humo.

Morena hoteli inamilikiwa na mbunge wa jimbo la Gairo mkoani morogoro Mheshimiwa Ahmed Shabiby ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya usafirishaji @shabiby_line.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке